GET /api/v0.1/hansard/entries/461459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 461459,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/461459/?format=api",
    "text_counter": 16,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bedzimba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1933,
        "legal_name": "Rashid Juma Bedzimba",
        "slug": "rashid-juma-bedzimba"
    },
    "content": "Bwana Spika, nimeshukuru kwa majibu yaliyotoka kwa kamati ya ardhi. Ni majibu yanayotia moyo ingawa yamechelewa sana lakini chelewa ufike. Kitu ambacho nitaomba ni kwamba hiyo taarifa ambayo kamati ya ardhi imeifanyia utafiti ipelekwe kwenye kamati ya utekelezaji ili iweze kumsukuma Waziri wa Ardhi ndiposa alete mswada huo kwa haraka na kwa wakati unaofaa ili tuwaokoe mamia ya wananchi wanaokaa kwa hofu kwenye ardhi ya mababu na baba zao. Naomba taarifa hiyo ipelekwe kwenye kamati ya utekelezaji."
}