GET /api/v0.1/hansard/entries/461461/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 461461,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/461461/?format=api",
    "text_counter": 18,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwiru",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 107,
        "legal_name": "Alex Muthengi Mburi Mwiru",
        "slug": "alex-mwiru"
    },
    "content": "Bw. Spika namshukuru mhe. Bedzimba kwa kuwa ametambua ile kazi kamati yangu imefanya. Ameomba kwamba tuipelekee kamati ya utekelezaji taarifa yetu. Nafikiri mwenyekiti wa hiyo kamati amesikia hilo na ameipata hiyo taarifa na ataichukulia maanani."
}