GET /api/v0.1/hansard/entries/462061/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 462061,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/462061/?format=api",
    "text_counter": 286,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Asante Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja hii iliyoko mbele yetu. Ni Hoja ambayo ni muhimu sana na hata tumechelewa. Inastahili kama tungeanza na hii mwezi wa Machi tulipokuja hapa ili kiwango kile kinachotumika kwa maafisa wa ngazi za juu kikaweze kushukishwa na hata ikiwezekana kikawekwa kiwango kimoja. Ni jambo la kusikitisha na la aibu kwamba Wabunge wanaokaa katika vikao katika kamati wanapata kiasi cha Kshs 5,000 ilhali makamishna waliohojiwa na Wabunge wanapata marupurupu ya kiwango cha juu."
}