GET /api/v0.1/hansard/entries/464132/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 464132,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464132/?format=api",
"text_counter": 379,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Ahsante sana Naibu Spika wa Muda. Ninaunga mkono Hoja hii ya usalama. Tunapoongea kuhusu usalama katika nchi ya Kenya, kila mtu anaona kwamba kuna shida mahali fulani. Kuna shida kwa sababu hakuna mahali hapa nchini hakujatokea janga kama hili tunalolizungumzia kuhusu Baragoi."
}