GET /api/v0.1/hansard/entries/464140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 464140,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464140/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninamuunga mkono mhe. Nkaissery kwa sababu hili ni jambo la kusikitisha na linawaadhiri Wakenya wote. Mambo yote tunayosema hapa, yanaenda wapi? Yatajibiwa na nani? Ni masikitiko makubwa. Siweza kurudia yale yaliyosemwa na mhe. Lentoimaga kwa sababu ametaja kila kitu. Nitagusia tu machache ya mambo ambayo hajayazungumzia."
}