GET /api/v0.1/hansard/entries/464145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 464145,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/464145/?format=api",
    "text_counter": 392,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninauliza, ng’ombe hao wanapelekwa wapi, ndiyo tujue. Zile bunduki za Serikali zilizopotea zinatumiwa kuwaua raia. Makosa yako wapi katika Serikali? Ningependa wale ambao wako na makosa Serikalini wachukuliwe hatua. Kuna endelea nini katika kitengo cha usalama? Hali ya usalama imezorota zaidi. Nikizungumza hivi sasa, nimearifiwa kwamba hakuna watu Baragoi. Watu wote wamehamia kwenye milima. Watoto wametolewa shuleni. Sasa tutafanya nini?"
}