GET /api/v0.1/hansard/entries/46589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 46589,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/46589/?format=api",
"text_counter": 332,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Haji",
"speaker_title": "The Minister of State for Defence",
"speaker": {
"id": 26,
"legal_name": "Yusuf Mohammed Haji",
"slug": "yusuf-haji"
},
"content": " Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ninaunga mkono Hoja hii. Serikali yetu imefanya mipango mingi ya kuwasaidia wazee katika sehemu nyingine hapa nchi. Hata hivyo, watu wa Mkoa wa Kaskazini Mashariki hawafaidiki kutokana na msaada huu. Mwenzangu hapa amesema kuna lokesheni kadha ambako wazee wanapata msaada kutoka kwa Serikali. Lokesheni za Mkoa wa Kaskazini"
}