GET /api/v0.1/hansard/entries/465948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 465948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/465948/?format=api",
"text_counter": 495,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuunga mkono Hoja hii kwa sababu wakulima wetu wataweza kujimudu kwa sababu ya hela watakazopata kutokana na mauzo ya maziwa. Kule ambako nimezaliwa – eneo Bunge la Githunguri – wakulima wanaweza kuzalisha maziwa mengi zaidi ya wakulima katika eneo nzima la Bonde la Ufa. Hilo limekuwa jambo zuri sana kwa sababu ukiangalia mashamba ambayo wako nayo wakulima hao, ni madogo sana kuweza kufanya kilimo The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}