GET /api/v0.1/hansard/entries/465950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 465950,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/465950/?format=api",
"text_counter": 497,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Kwa sababu ya ufukara na ukosefu wa ajira, kilimo cha maziwa ni muhimu sana kwa wafugaji kule mashinani. Utaona kwamba kila mmoja wa wazee wetu ameachwa na ng’ombe mmoja ama wawili, na anaweza kupata riziki yake ya kila siku. Kwa hivyo, ni vizuri kuongeza bei ya maziwa ili wazee wetu na jamii zinazoishi kule mashinani, ambao ndizo nyingi; ziweze kupata fedha zitakazoziwezesha kukimu mahitaji yao ya kila siku."
}