GET /api/v0.1/hansard/entries/465952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 465952,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/465952/?format=api",
    "text_counter": 499,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Pia, maziwa yakitoka shambani yanaweza kufanyiwa mambo mengi sana. Kuna siagi inayotolewa kwa maziwa. Ukiangalia ile gharama ya kupeleka maziwa hadi dukani inamfanya mkulima asiweze kupata pesa zake. Mwuuzaji wa maziwa anapata kama Kshs 100 kutokana na maziwa kwa sababu anauza bidhaa nyingine zinazotoka kwa maziwa. Ni jambo la kusikitisha kama wakulima wetu wataendelea kulipwa bei ile ile ya chini."
}