GET /api/v0.1/hansard/entries/465953/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 465953,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/465953/?format=api",
    "text_counter": 500,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Mhe Spika wa Muda, tunajua kwamba tukiongeza bei ya maziwa litakuwa ni jambo zuri kwa sababu itawafanya watu waweze kutoa maziwa kwa wingi. Watu watukunywa maziwa kwa wingi na kuwa na afya nzuri. Pia watu watapata madini na vitamini ambazo zitawasaidia kuwa Wakenya wa afya nzuri. Taifa ambalo linakula vyema pia linaweza kufanya kazi bora na uchumi wetu utaweza kuimarika."
}