GET /api/v0.1/hansard/entries/465955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 465955,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/465955/?format=api",
"text_counter": 502,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Tungependa kuona Serikali ikiingilia kati ndiposa New KCC iwe kama National Oil Corporation of Kenya. New KCC ikiwa hivi itaweza kuhakikisha kwamba makampuni ya maziwa kama Brookside yakiongeza bei yao nayo inawaongezea wakulima bei ya maziwa na kuhakikisha kwamba wakulima wanapata pesa zao vizuri, wanalipwa kwa njia ya haki na kwa wakati ufaao."
}