GET /api/v0.1/hansard/entries/466771/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 466771,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/466771/?format=api",
"text_counter": 368,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ninaanza kwa kushangaa kwamba Wabunge 196 wanaweza kuwa katika kikao cha kumfukuza mbali makamu wa kiongozi wa wachache ilhali tukizungumzia maneno ambayo yanawahusu Wakenya, tunakuwa wachache hata mambo ya tyrany of numbers hayapo. Kwa hivyo, ni jambo la kufedhehesha sana kuona kwamba mambo ambayo tunafaa kuyazingatia hayapigiwi upato vizuri."
}