GET /api/v0.1/hansard/entries/466776/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 466776,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/466776/?format=api",
"text_counter": 373,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Pia ni jambo nzuri kuona kwamba mameneja au wadhamini wa halmashauri tafauti ambazo zinafaa kuangazia zile pesa za malipo ya uzeeni kwa wazee wetu, pia wawe na kiasi cha kuangaziwa ili wasiwe watapeli. Wanafaa kuangaliwa elimu yao na kiasi chao cha pesa ili wasitumie nafasi zao za umeneja ama kuwa kwenye halmashauri kunyanyasa watu ambao wameweka pesa zao ili waweze kujifaidi wakati ambao wamewacha kazi. Ukiangalia papo hapo katika hicho kipengele, kinahakikisha kwamba hawa wazee wanaweza kulipwa kwa njia rahisi. Hilo ni jambo ambalo linaweza kutusaidia kusonga mbele."
}