GET /api/v0.1/hansard/entries/467702/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 467702,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/467702/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa hivyo, Bw. Naibu Spika, mimi nataka kuunga Mswada huu mkono, na pia nataka kuchukua nafasi hii kumuunga mkono ndugu yangu, Sen. Kajwang, aliyesema kuwa anaunga in protest ; yaani anaunga mkono na tena anateta. Na mimi pia nataka kuunga mkono na nitete ya kwamba haki zetu sisi, kama Wapwani, zipatikane! The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}