GET /api/v0.1/hansard/entries/467987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 467987,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/467987/?format=api",
    "text_counter": 187,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika, nashukuru kwa kunipa fursa hii. Mimi nikiwa Seneta wa Tana River sina pingamizi yoyote juu ya Hoja hii. Naunga mkono Hoja hii kwa sababu mambo ya siku moja ni tofauti na ya siku nyingine. Hata madakika huwa yanatofautiana. Mhe. Seneta aliyezungumza mbele yangu alisema siku moja haiwezi kuleta tofauti yoyote. Siku moja inaweza kuleta mabadaliko. Hata dakika moja inaweza kuleta mabadiliko. Wale ambao wameseme siku moja ipunguzwe katika Hoja hii walilenga kuonyesha wakati una umuhimu wake. Upishi haufai kuendelea kila wakati. Tusiwe tunapinga mambo kila siku. Siku moja ikipunguzwa, tunaweza kuitumia kufanya mambo mengine muhimu. Ni lazima tuwe waangalifu wa wakati. Wakati ni muhimu."
}