GET /api/v0.1/hansard/entries/46850/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 46850,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/46850/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Kulingana na arifa ya Waziri Mkuu katika Bunge hili ni kuwa alipofika pale mpakani, aliwaona wavamizi wakitayarisha mashamba kwa minajili ya kulima na kupanda. Je, wavamizi hao bado wana endelea na shughuli zao za kulima na kupanda au wametimuliwa? Ikiwa Serikali haijafaulu kuwaondoa mahali hapo, itafanya nini? Ni lini wavamizi hawa wataondolewa kutoka nchi ya Kenya? Je, usalama wa taifa letu ni shwari?"
}