GET /api/v0.1/hansard/entries/469809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 469809,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/469809/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Chama cha Kenya Peoples Party kilianzishwa na Mzee Oginga Odinga nilipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Bondo. Kuna maneno ya Kijaluo aliyokuwa akiyatumia kila mara. Alikuwa akisema Cham gi wadu akimaanisha “kula na wenzako”. Tom Mboya akaja akasema “ Cham luchi ” kumaanisha “kula jasho lako.” Kwa hivyo, watu wasilalamike. Wale jasho yao, wafanye bidii, wasome na washindane na watu wengine kutoka sehemu mbalimbali za nchi. Kwa hayo machache, naomba kuunga mkono Hoja hii."
}