GET /api/v0.1/hansard/entries/470008/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470008,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470008/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ningependa kuwaambia hakuna kifo kisichokuwa na sababu na sote ni maiti watarajiwa. Kila kifo kinapotokea, hatukosi sababu lakini Mungu alituleta na akasema siku moja tutarudi. Kwa hivyo, kwa sababu ya ajali ama sababu yoyote, tutakufa. Ninatoa rambi rambi zangu kwa familia ya marehemu. Nyote mlio hapa, Waislamu na Wakristo, kifo hakikosi sababu."
}