GET /api/v0.1/hansard/entries/470371/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 470371,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470371/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "wawili ambao walitoka Tume ya Uchaguzi; mmoja alikuwa wa Serikali na mwingine alitoka Tume ya Serikali. Ilibainika wazi kwamba baada ya kuhesabiwa kura katika kituo cha kupiga kura, waliokuwa wengi walitengeneza kituo kingine katikati ya upigaji kura na kituo kile cha Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC). Tulishuhudia kwa uwazi kwamba waliokuwa wakituma matokeo ya kura za wananchi wakitumia mitambo yao na kuweka ujumbe tofauti. Ujumbe uliotokea katika simu zao ulikuwa ukisema; matokeo unayotuma tayari yamepokelewa na kuandikishwa. Kiongozi wa Wabunge Wengi katika Seneti, badala ya kusema kwamba anaomba msamaha kwa yale yaliofanyika ambayo yalimfanya kuwa kiongozi wa wengi na walio wengi wakafanywa wachache, ni jambo ambalo Mungu tu anaweza kutusaidia."
}