GET /api/v0.1/hansard/entries/470373/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470373,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470373/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "The Senator for Machakos County",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": " Bw. Spika, walio wengi wana nguvu za kupita lakini walio wachache wanaweza kutumia sauti zao. Hapa tunatumia sauti kuelezea kwa uwazi kwamba kuna kudhuluma na kufanya yale ambayo hayafai. Naomba tuachwe kwa sababu walio wengi wamekuwa wengi na kuwachukua walio wachache. Nafasi tuliyonayo sasa ni kulia tu. Kwa hivyo, wacha tulie tu!"
}