GET /api/v0.1/hansard/entries/470383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470383,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470383/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "The Senator for Machakos County",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": " Bw. Spika, naona kwamba wengi wetu hapa hatuelewi demokrasia ni nini. Rais katika Hotuba yake, ukurasa wa 18, alisema kwamba sisi tunaweza kuwa na mawazo tofauti. Unaruhusiwa kusema unavyofikiria. Hiyo haiwezi kutufanya tukawa maadui. Ni lazima tuungane na kuwa taifa moja. Mawazo hayo, kwa wengine, ni wimbo ulioimbwa na kasuku ili wengine wafurahi. Serikali iliyoondoka ilikuwa na msimamo wa maneno kama hayo. Nasikitika sana kwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}