GET /api/v0.1/hansard/entries/470385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470385,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470385/?format=api",
    "text_counter": 114,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "sababu sehemu niliyowakilisha ya Kangundo inapakana na Thika. Katikati ya barabara inayotoka kwetu hadi Thika, unapoelekea Tala, kutoka tunyakue Uhuru, Hayati Mzee Kenyatta alimwambia Marehemu Mheshima Ngei kwamba ingewekwa lami. Mheshimwa Moi aliniambia kwamba barabara hiyo ingewekwa lami, mheshimiwa Kibaki, aliyekuwa pale mara ya mwisho, nikiwa nimesimama naye Ol Donyo Sabuk, aliniambia ingewekwa lami. Hadi leo, lami imetoka hapa hadi Thika na huishia hapo. Ukitoka hapo unapoelekea katika barabara ya kuenda Mombasa, hakuna lami. Mimi nasikia kwamba Serikali iliyotangulia ilitengeneza barabara. Watu wakiongea mambo ya blanketi wanazotumia kujifunika na wewe hauna hata moja; wakiwa wanaimba mambo ya usafi na vile wanajifunika, unawezaje kufurahi na kuelewa kwamba blanketi inaweza kuzuia baridi?"
}