GET /api/v0.1/hansard/entries/470389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470389/?format=api",
    "text_counter": 118,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "The Senator for Machakos County",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": " Bw. Spika, barabara ninazozungumzia ziko nilivyosema. Huo ni ukweli wa mambo. Kwasababu tumeingia katika Serikali ya ugatuzi, tumeona dalili za kutaka kuziharibu Serikali hizo ya Ugatuzi. Ni katika kupitia Serikali za Ugatuzi ambapo sehemu unayowakilisha itafaidika na kuijenga Serikali. Hadhari tunaoyoona na ambayo tunafaa kuitoa kwa uwazi ni kwamba atakaye dhubutu kucheza na Serikali ya Ugatuzi ambayo inawakilisha muafrika ambaye hana wa kumujalili, kutakuwa na kizaazaa kikuu. Kwa hivyo, wanaozungumza hawafai kuona hii ni kama siasa za mzaha. Tumechaguliwa kufika hapa kutetea na kuweka uwazi masilahi ya watu waliotuchagua. Kwa hivyo, anayebabaika na kuona hayo hayawezi kusemwa atakuwa katika shida kubwa."
}