GET /api/v0.1/hansard/entries/470793/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 470793,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470793/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, hii ndio sababu nilisema kwamba ninamwomba msamaha kabla sijasema yale niliyoyasema. Tukienda njia hiyo, mimi ninahurumia makabila madogo nchini Kenya. Kwa hivyo, ili tuende mbele na kuwaweka Wakenya pamoja, ninasema kwamba asilimia 60 ya kura za kaunti katika Mswada huu liwe jambo la kwanza kurekebishwa. Hizo kura asilimia 60 za kaunti 47 zinatoka katika The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}