GET /api/v0.1/hansard/entries/470795/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 470795,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/470795/?format=api",
"text_counter": 307,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "nchi nzima, lakini yule atapata kura nyingi, na iwe imetoka katika jamii moja, yafaa aambiwe kwamba jambo hilo haliwezi kuidhinishwa. Jambo hilo litawafanya watoto wetu ambao tunawazaa hivi sasa, wakue wakijua ya kwamba wanaweza kuanzisha vyama na kuenda kule kwa Wakalenjini na kuuza sera zao kwa sababu tukishikana pamoja na kushinda uchaguzi, tutaweza kuweka akili zetu pamoja na kuzingatia umoja wa Wakenya. Kwa hayo machache, ninaunga mkono."
}