GET /api/v0.1/hansard/entries/471430/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 471430,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/471430/?format=api",
"text_counter": 222,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Bule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1029,
"legal_name": "Ali Abdi Bule",
"slug": "ali-abdi-bule"
},
"content": "Bw. Spika, nakushukuru kwa kunipa fursa hii. Ningependa kumpongeza Naibu Rais wetu na pia Sen. Musila kwa kuleta Hoja hii. Nafikiri Wakenya wengi wamepata matatizo kwa kukosa kupata vyeti vyao vya shule kwa sababu vyeti hivyo vimetiwa “mbaroni” na waalimu. Hii ni fursa muhimu sana kwa wanafunzi waliokosa vyeti vyao kwa muda mrefu. Kwa hivyo, langu ni shukrani na pongezi kwa Naibu Rais na Serikali ya Jubilee. Asante."
}