GET /api/v0.1/hansard/entries/47168/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 47168,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/47168/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ahsante Bwana Spika. Ugonywa huu wa ng’ombe hauadhiri sehemu ya Engilai peke yake. Ugonjwa huo umetambaa kila mahali. Waziri Msaidizi anajua kwamba sisi ni watu wa kuhama. Kwa hivyo, ugonjwa huo unafaa kukomeshwa mahali ulipo kabla haujaenea kila mahali."
}