GET /api/v0.1/hansard/entries/47169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 47169,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/47169/?format=api",
    "text_counter": 51,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Duale",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 15,
        "legal_name": "Aden Bare Duale",
        "slug": "aden-duale"
    },
    "content": "Bwana Spika, hilo ni swali nzuri kutoka kwa Mheshimiwa Leshoomo. Kama nilivyosema mbeleni, Wizara au Serikali kwa jumla, ina fedha za kutosha. Pia, tuna madawa ya kutosha na kiwanda kikubwa cha kutengeneza madawa hayo kiko hapa katika nchi yetu. Tutajaribu juu chini ili kuhakikisha kwamba wafugaji na wanyama wetu hawataadhiriwa na magonjwa tofauti."
}