GET /api/v0.1/hansard/entries/472403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 472403,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/472403/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wangari",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Ningependa pia kutoa rambirambi zangu kwa watu wa Turkana na hasa Wakenya wote ambao wameathiriwa na ukosefu wa usalama. Bw. Spika, ni jambo la kusikitisha sana kwa sababu hii sio mara ya kwanza tunaongea kuhusu mambo ya usalama katika Bunge hili la Seneti. Hasa hata tumefanya mkutano ama kikao kisicho rasmi ili kuwasikiza wale wanaohusika na mambo ya usalama. Kila mara kukiwa na mambo kama haya Turkana, Lamu au sehemu yoyote, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}