GET /api/v0.1/hansard/entries/472407/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 472407,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/472407/?format=api",
    "text_counter": 79,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wangari",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13123,
        "legal_name": "Martha Wangari",
        "slug": "martha-wangari"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Namuunga mkono Sen. Wetangula kwamba ni lazima tuwe na kikao kama Seneti na tuwaite wale ambao wanasimamia mambo ya usalama, ili tuweze kujua ni nini haswa tutakachofanya kuhakikisha kwamba hatutawapoteza watu wengine kwa sababu ya uhalifu. Asante, Bw. Spika."
}