GET /api/v0.1/hansard/entries/47317/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 47317,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/47317/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Kama hawa ambao anajaribu kuwapatia makao hawakuwa na ardhi hapo awali, mbona wanapewa kipaumbele na katika nchi hii kuna watu ambao hawana ardhi? Kwa nini wao wapatiwe ardhi? Mkoa wa Pwani kuna watu ambao hawana ardhi. Mbona hawafikirii? Mnafikiria hawa wengine huku juu. Hio ni haki?"
}