GET /api/v0.1/hansard/entries/473657/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473657,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473657/?format=api",
    "text_counter": 216,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza, ningependa kumshukuru dada yangu, mhe. Millie Odhiambo kwa kutuletea Mswada huu ambao unazungumzia maswala nyeti na muhimu sana yakusaidia waathiriwa katika jamii yetu. Mswada huu unasema kwamba waathiriwa watatoa habari ambazo zitawasaidia ili wapate huduma na fidia kutoka kwa wale ambao wamewaathiri."
}