GET /api/v0.1/hansard/entries/473658/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473658,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473658/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Sura ya Pili, Aya ya Tatu inazungumzia mambo yamaridhiano katika kesi fulani na pia, katika kuleta amani. Tukiangalia katika nchi ya Rwanda, tunaona kwamba kitambo walikuwa na vita vya kikabila lakini kwasababu ya maridhiano baina ya zile jamii mbili tunaona hii nchi ikiwa na amani na umoja. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}