GET /api/v0.1/hansard/entries/473659/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473659,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473659/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Kwa hivyo, Mswada huu utaangalia mambo ya maridhiano kwa sababu kesi nyingine huwa ni kesi ambazo mwathiriwa na mwathiri wanapowekwa pamoja na jamii na familia huwa kunapatikana amani ya kudumu na haki itakayowaridhisha wote wawili."
}