GET /api/v0.1/hansard/entries/473661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473661,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473661/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Vile vile, Mswada huu umezungumzia maadili ambayo yako katika Katiba yetu. Mswada huu unasema kwamba waathiriwa wasibaguliwe kwa misingi ya kikabila, kijinsia, dini au umri. Hivyo basi tunasema Mswada huu umezingatia Katiba yetu ambayo inatupatia haki, nasisi Wakenya tunasema “haki iwe ngao na msingi wetu”."
}