GET /api/v0.1/hansard/entries/473662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473662,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473662/?format=api",
    "text_counter": 221,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Sisi kama viongozi, tunaiomba Serikali izingatie mambo yaliyozungumziwa katika Mswada huu, kwa mfano, mambo yamaridhiano. Kwa hivyo, ripoti ya TJRC ambayo inaongea juu ya ukweli, haki na maridhiano inafaa itekelezwe ili tusiwe na matukio ya vita vya kijamii kama vile vilitokea kule kwetu Pwani, Kaya Bombo na Molo. Mambo haya hutokea kwasababu hatuna miundomisingi au mikakati ambayo inaweza kuzuia mambo kama haya kuweza kutokea tena."
}