GET /api/v0.1/hansard/entries/473663/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473663,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473663/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Ninaunga mkono huu Mswada kwa kusema tutakuwa na hazina itakayoitwa “Victim Protection Trust Fund”. Hazina hii, pia, itaweza kumsaidia yule mwathiri aweze kupata huduma zitakazo mwezesha kupata haki. Nikiangalia katika Mswada huu, ninaona kwamba huduma zimezungumziwa kwa utaratibu unaofaa. Hakika tukifuata mtiririko wa huduma hizi basi haki itakuwa ngao na msingi wetu kama Wakenya."
}