GET /api/v0.1/hansard/entries/473672/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 473672,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473672/?format=api",
    "text_counter": 231,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Ahsante, mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Ninataka, kwanza, kumshukuru mhe. Millie sana kwa kuleta huu Mswada hapa. Sisi kama viongozi ambao tumechaguliwa kuja katika Bunge hili, kazi yetu ni kuwakilisha wale ambao hawawezi kufika hapa. Tunajua wakati mwingi kuna watu ambao wanateseka."
}