GET /api/v0.1/hansard/entries/473675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 473675,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/473675/?format=api",
"text_counter": 234,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2715,
"legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
"slug": "esther-nyambura-gathogo"
},
"content": "Tusiwachukulie polisi kana kwamba si wanadamu. Kuna visa ambapo polisi wanajeruhiwa ama wanauwa wakiwa kazini. Huu Mswada unagusia kila Mkenya. Sisemi kwamba polisi wasifanye kazi yao, lakini nao wachukuliwe kama Wakenya wanaohitaji kufanyiwa haki. Ukitembea kortini utaona waathiriwa ambao hawana watu wa kuwatambua. Utapata kwamba hawana watu wa kuwatetea na hawajui haki zao. Huwa hawana namna ya kuendelea. Tutapitisha huu mswada ndiposa tusimamie watu wetu ambao wamefinyika humu nchini. Ningependa kuwaambia watu wa Ruiru constituency, “hi”, na ninawapenda. Godbless."
}