GET /api/v0.1/hansard/entries/474217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 474217,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/474217/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, mhe Naibu Spika. Niliuliza taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi. Kwa muda mrefu, hajakuwepo. Hivi leo, nimemwona. Ni matumaini yangu kwamba nitapata taarifa hiyo mapema iwezakanavyo kesho. Hii ni kwa sababu najua huenda pengine akawa bado ana maruweruwe ya kule alikotoka. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}