GET /api/v0.1/hansard/entries/477578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 477578,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/477578/?format=api",
    "text_counter": 118,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Simba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 12532,
        "legal_name": "Paul Simba Arati",
        "slug": "paul-arati-simba"
    },
    "content": "Gazeti la Nation – na hii si mara ya kwanza – limekuwa na nia ya kuniharibia jina. Leo hii, maisha yangu, naambiwa kwamba yamo hatarini. Nataka niombe--- Kwa sababu ni kawaida, ikiwepo kwamba ni Mbunge anatajwa kwa kitu chochote kile, inakuwa kwamba ni hali ya kutengeneza pesa kupitia kwa gazeti. Mimi nikiwa hapa nahuzunika sana! Mimi ni baba; ni bwana na ni Mheshimiwa wa eneo langu la uwakilishi Bungeni la Dagoretti North. Gazeti limekuwa ndilo askari, mahakama ya kutuma watu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}