GET /api/v0.1/hansard/entries/477579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 477579,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/477579/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Simba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 12532,
"legal_name": "Paul Simba Arati",
"slug": "paul-arati-simba"
},
"content": "katika jela. Naomba kwamba hili Bunge - na ninaongea Kiswahili kwa sababu nataka watu wangu wanielewe--- Kumekuwa na hali ya taharuki kule Dagoretti. Wanasema Mheshimiwa anataka kuuawa ama yeye ndiye anataka kuuwa mtu. Naomba kuuliza haya maswali kwa sababu kulikuwa na vyombo vingine ambavyo vilishika hayo mambo na vikanunuliwa, lakini nilipata ile clip kuonyesha vile alivyotoa bunduki na ku cock – karibu kunipiga risasi. Ningeuawa siku hiyo singekuwa katika Bunge hili. Nashukuru Mungu kwa sababu siku yangu haikuwa imefika."
}