GET /api/v0.1/hansard/entries/477580/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 477580,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/477580/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Simba",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 12532,
"legal_name": "Paul Simba Arati",
"slug": "paul-arati-simba"
},
"content": "Mhe. Spika, huyo mtu anasema kwamba yeye amepewa walinzi wawili na hakuna mtu atakayemshitua na anatembea Jiji hili lote. Kwa vile hili ni Bunge la kutengeza sheria, ninaomba lisaidie Wakenya wengine. Mimi nitajitetetea leo katika Bunge hili. Lakini itakuwaje kwa yule ambaye hawezi kujitetea katika Bunge hili ama kwingine?"
}