GET /api/v0.1/hansard/entries/477581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 477581,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/477581/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Simba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 12532,
        "legal_name": "Paul Simba Arati",
        "slug": "paul-arati-simba"
    },
    "content": "Nimesikia kwamba mfanyabiashara anayeitwa Ashok Shah ametajwa kwingi. Naomba kwamba sheria ichukue mkondo wake. Naomba pia Mkuu wa Mashtaka ya Umma afanye kazi yake kwa sababu tangu tarehe 11 mwezi wa tano mpaka leo, hakuna kitu ambacho kimefanyika."
}