GET /api/v0.1/hansard/entries/479353/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 479353,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/479353/?format=api",
"text_counter": 119,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Asante sana Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kumwuuliza mwenyekiti wa hii kamati swali moja. Amesema kwamba hili jambo lilitendeka kwa sababu ya wale magaidi wa Al Shabaab na ilihali tumesikia kwamba hapo awali kulikuwa na habari kwamba ilikuwa ni tetezi za kisiasa. Uwiano uko wapi kati ya mambo haya mawili? Ni Al Shabaab ama ni siasa? Pili, tunaona kwamba Serikali ya kitaifa imepatiana Kshs50,000 kwa kila muadhiriwa, lakini Serikali ya kaunti ilipatiana Kshs100,000 kwa kila familia. Hiyo kweli inatosha? Tulikuwa tunafikiri kwamba Serikali ya kitaifa ingepatiana hela zaidi. Kama kweli haya mambo yalitendeka hata baada ya watu kufutwa kazi - tunaona bado kule Lamu kulikuwa na majanga mengine - wale maafisa wengine wamechukuliwa hatua ama ni wale wa mbele ambao walionekana kuwa walizembea? Wangechukuaaje The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}