GET /api/v0.1/hansard/entries/479359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 479359,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/479359/?format=api",
    "text_counter": 125,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Nassir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2433,
        "legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
        "slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa nafasi hii. Kwanza, nataka kuchukuwa fursa hii kuomboleza pamoja na ndugu zangu wa Amu. Zamani pahali pale palikuwa panajulikana kama sehemu ya mandhari ya usalama, lakini leo pamegeuka kuwa mahali pa karaha. Bw. Naibu Spika wa Muda, kitu ambacho ningependa kupata ufafanuzi juu yake ni kuhusiana na kuchelewa kufika kwa maafisa wa usalama. Serikali imekubali kwamba kulikuwa na udhaifu katika sekta hiyo. Lakini hawajatupatia muda maalumu ambao uchunguzi wao utaweza kumalizika. Pili, ningependa kutaja kwamba--- The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}