GET /api/v0.1/hansard/entries/479365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 479365,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/479365/?format=api",
    "text_counter": 131,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Abongotum",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 165,
        "legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
        "slug": "asman-kamama"
    },
    "content": "Kshs100,000. Alitaka pia kujua ni hatua gani imechukuliwa kwa maafisa wa polisi ambao walizembea katika kazi yao. Nafikiri nilisema hatua ambayo imechukuliwa na Serikali; nilikuwa nimejibu swali hili awali. Kuhusu pesa, ningependa kueleza mhe. Mwaura kwamba Serikali ya kitaifa ina pesa za dharura na mara nyingi hizi pesa zinasaidia waathiriwa katika Kenya nzima. Kwa hivyo, zile pesa Serikali ilionelea ni vizuri zitolewe ni Kshs50,000. Kuna pesa nyingine ambazo zinawekwa ili janga lingine likitokea, waathiriwa waweze kusaidiwa. Bw. Naibu Spika wa Muda, kuhusu utetezi wa kisiasa, nilikuwa nimjibu hili. Mbunge wa Samburu Mashariki, mhe. Letimalo, alisema kwamba Mpeketoni ni eneo la watu tofaouti tofauti, yaani cosmopolitan area. Nakubaliana naye. The area is cosmopolitan because we have all tribes of Kenya there. I agree with him. He wanted to know whether the Government has initiated traditional mechanisms of dealing with this matter through use of elders, religious leaders and women leaders. As a Committee, I think we will insist that these mechanisms be put in place, so that we can have long lasting solutions. This can be brought about by putting traditional mechanisms for dispute resolution in place. On the issue of deploying security personnel, I want to confirm to him that a sufficient number of officers has been deployed in that area. Hon. Opiyo wanted to know whether there was conspiracy between land, politics and Al-Shabaab agents . Yes, I agree. But this is still under investigations. As committee, we intend to visit that place. We were actually supposed to have visited the area but we had no Exchequer issues. You all know that there was the issue of mileage allowances, which were not easy to get. In the next two weeks, we hope to visit that area and come up with a report to this House. Mhe. Nassir alitaka ufafanuzi kuhusu kuchelewa kwa---"
}