GET /api/v0.1/hansard/entries/479369/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 479369,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/479369/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Abongotum",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 165,
        "legal_name": "Asman Abongutum Kamama",
        "slug": "asman-kamama"
    },
    "content": "I will finalize hon. Temporary Deputy Speaker. Mhe. Nassir anataka ufafanuzi kuhusu kuchelewa kwa maafisa na udhaifu ambao ulidhihirika katika Mpeketoni. Ningependa kumweleza kwamba hatua madhubuti zimechukukliwa ili kuhaikisha kwamba wale makamanda ambao walikuwa wafanye kazi hiyo--- Hatua zimechukuliwa na kamishina wa Kaunti aliyekuwa huko amepatiwa uhamisho; wale maafisa wengine wamechukuliwa hatua za kinidhamu. Mhe. Nassir pia alitaka kujua ni muda gani maalumu ambao uchunguzi utachukuwa. Ningependa kusema kwamba tutajua muda huo kutoka kwa Waziri. Kamati yangu itamwita Waziri na kujua ni muda gani uchunguzi utachukuwa. Lakini ninajua kuna oparesheni inaendelea, na tungependa hiyo operesheni iendelee mpaka tuwe na usalama wa kutosha na wa kudumu katika eneo la Mpeketoni. Hon. (Ms.) Nyamai wanted to know what the Government is doing because there is a simmering tension between the people at the border of Tana River and Kitui counties. She also said that this is a Mpeketoni in waiting. I think this is good information and we are not going to take it lightly. We will actually summon the CS to come and tell this Committee what the Government is doing to stop possible attacks similar to what happened in Mpeketoni. Hon. Nyamai, we will do that. I think there is even a Statement that I will be giving sometime this week or next week on this issue. That issue has really bothered the hon. Member and we need to go to the bottom of it. La mwisho, Mbunge wa Lamu Mashariki angependa kujua hatua gani Serikali imechukua kuhakikisha kwamba kuna usalama katika sehemu ya Kiunga karibu na mpaka wa Somalia na Kenya. Ningependa kumjulisha kwamba kamati yangu itakaa chini na Waziri. Hata mimi kama mwenyekiti nitaongea na Inspector-General pamoja na Waziri kuhakisha kwamba watu wa Kiunga wanapatiwa usalama kikamilifu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}