GET /api/v0.1/hansard/entries/48089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 48089,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/48089/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Joho",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 30,
        "legal_name": "Hassan Ali Joho",
        "slug": "hassan-joho"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bi. Naibu Spika wa Muda. Jambo linalozungumziwa Bungeni leo ni muhimu kwa sababu linahusu maisha ya Wakenya. Nakuomba uulize ikiwa hotuba zetu zifupishwe ili badala ya mzungumzaji kupewa dakika kumi, apewe dakika tano ili nasi tupate nafasi ya kuongea kuhusu matakwa ya Wakenya."
}